KANUNI 10 ZA MAFANIKIO
4d old
Kitabu hiki kinaelezea kanuni za kupata mafanikio katika maisha. Ni kanuni za kawaida katika maisha, tofauti wengi wetu hatujaziweka katika mipango yetu na malengo ya maisha. Ukisoma kitabu hiki unatakiwa uwe na kalamu na karatasi ili uorodheshe kanuni zote na ujilinganishe na wewe zipi unazifuata, zipi hauzifuati, urudie kusoma mara kwa mara ili ziingie kwenye akili yako ya chini ya ufahamu wako, ili uzifanyie kazi kutimiza ndoto zako.
Get it → maxtembaproducts.gumroad.com